Masjid Mir Mahmood Sha

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Msikiti unaoaminika kuwa mdogo zaidi duniani unaojulikana kama Masjid Mir Mahmood Shah au Jinn ki Masjid huko Hyderbad nchini India unahitaji ukarabati wa dharura.
Habari ID: 3473623   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/05